News
WAZIRI NDUMBARO AAGIZA KLABU ZA JOGGING KUANDAA KALENDA YA MATUKIO KWA MWAKA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaagiza viongozi wa klabu za Jonging nchini, kuandaa kalenda maalumu ya matukio yao ili kurahisisha utaratibu kwa wananchi kushiriki matukio hayo ambayo yanaimarisha afya na kudumisha uhusiano.... Read More
Posted On: Sep 09, 2024
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA KASI UWANJA WA ARUSHA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya mwenyekiti wake Mhe. Husna Sekiboko imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Jijini Arusha kufuatia muda na kiasi cha pesa ambacho Serikali imeshatoa kwa ajili ya ujenzi huo.... Read More
Posted On: Sep 09, 2024
MHE. NDUMBARO AHIMIZA HALMASHAURI KUJENGA VIWANJA VYA MICHEZO,
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema wizara hiyo kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI ipo katika mkakati wa kuhakikisha kila halmashauri inakua na kituo cha michezo... Read More
Posted On: Sep 06, 2024
UKAGUZI JENGO LA WIZARA MTUMBA
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa Septemba 4, 2024 amekagua ujenzi wa jengo la ofisi za wizara hiyo ambalo liko katika hatua za mwisho za ukamilishwaji katika mji wa Serikali,... Read More
Posted On: Sep 05, 2024
WAZIRI NDUMBARO AWASHAURI WABRAZIL KUFUNGUA OFISI TANZANIA
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amewaomba wadau wa michezo kutoka Brazil kufungua ofisi nchini Tanzania ili kutoa huduma ya michezo ikiwezo ujuzi,... Read More
Posted On: Sep 05, 2024
WIZARA KUTOA KATIBA YA MFANO KWA VYAMA NA MASHIRIKIKISHO YA MICHEZO
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema wizara hiyo inakamilisha Katiba ya mfano kwa ajili ya vyama na mashirikisho ya michezo itakayokabidhiwa Oktoba 1, 2024... Read More
Posted On: Sep 04, 2024